Loading...

WIX VITAMIN E MOISTURIZING GEL

In Stock
Tsh20,000.00 Tsh15,000.00

WIX VITAMIN E MOISTURIZING GEL ✅With vitamin E ✅Inaondoa mikunjo usoni ✅kama unafanya kazi inayokufanya ukae juani mda mrefu au kwenye moto hii ni nzuri sana. ✅Inakinga ngozi na miale ya jua ✅Inaondoa wekundu usoni ✅Inatibu uso ulioungua na cream kali au jua. Read more

 WIX VITAMIN E MOISTURIZER GEL

🔹Kama ngozi Yako ni kavu sana, Ina mikunjo, imepauka, ngozi imechoka na kuwa nyepesi kutokana na matumizi ya cream Kali, umepata wekundu kwenye macho na kwenye mashavu tumia hii vitamin E.

🔹Rudisha urembo wa ngozi Yako kwakutumia gel ya Vitamin E itakusaidia kurepair ngozi Yako nakuirudisha Katika Hali yake ya awali.

🔹 Moisturizer nzuri sana Ina weka unvyevu kwenye ngozi na Ina Sunscreen ambayo italinda ngozi Yako na miale ya jua. 
Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like

Get 50% Discount.

Je ungependa kuwa wakala wetu??? Jiunge nasi katka SMARTPAY AGENCY .utaingiza pesa kwa kupost bidhaa zetu kupitia whatsap status na utalipwa hadi Tsh 2,000 kwa kila post ..wasiliana na wakala wetu unao waona wakipost SMARTPAY kwenye status zao..au mpigie CEO simu namba 0672555203